05/06/2026
Tuliona Dubai ni mbaliβ¦ tukaleta Dubai Manyala π°πͺ
Hapa ukijificha weekend moja, Monday unajiuliza k**a kweli ulikuwa Butere
One bedroom ya kupotelea kabisa:
Comfortable bed
πΆ Fast WiFi
πΊ Netflix
π³ Jikoni mpoa anaweza kupika ama tukupikie (tunaweza kuku spoil kidogo )
Hapa shida pekee ni kuondoka
π Manyala,opposite ACK Church βunapotea kidogo halafu unajipata Mondayβ
π¬ Utaingia na nani hapa au utaingia solo adventure?