28/04/2026
what we have been requesting from ministry of sport and youth affairs is finally home ,election inakuja,it's awin to youths Siasa Place IAD organisation millennium CBO County Voice & Rights Voices for justice-CBO Isangalo arts
National Youth Council Elections 2026 Process
Hii ni breakdown ya the whole process:
Step 1 (Ward Level): Vijana wote mtaani wanapiga kura kuselect delegates 6 (wasichana 3, mamboys 3). Hapa ndio kila kitu inaanza.
Step 2 (Constituency): Hao delegates wa ward wanakutana kuchagua mabazuu 2 (msee mmoja na dame mmoja) watakaorepresent constituency kwa National Youth Congress.
Step 3 (National Youth Congress): Hapa ndio delegates wote wa Kenya wanapatana. Wanachagua members 8 wa kuingia National Youth Council na ku-nominate wengine 8.
Step 5 (National Youth Council): Hii sasa ndio "Apex Body"—wale mabazuu wa mwisho wenye wana-advise serikali kuhusu ishu za vijana.
Vile itakuwa:
Age: Lazima uwe miaka 18–34 (usikue unaturn 35 hii mwaka ya kura).
Inclusion: PWDs na wasichana wako ndani kabisa! No 2/3 gender dominance.
Goal: Fair representation na uongozi safi (transparency).