Bahari Fm

Bahari Fm The coastal market woke up in September 2008, to a new station from Royal Media Services. Bahari FM’s tag line is Nuru ya Roho’
(3)

The word “Bahari” is the Kiswahili term for ocean, giving the station an immediate identity to the coastal people.

13/08/2026
Alhamisi ndiyo siku k**a ile Siku, jiandae kwa awamu mbili tukilikunja Jamvi la siku.
13/08/2026

Alhamisi ndiyo siku k**a ile Siku, jiandae kwa awamu mbili tukilikunja Jamvi la siku.


Maumivu ya kifua ni shida ya kawaida na inaweza kutokea kwa sababu nyingi. Inaweza kuhisi k**a shinikizo, kuchoma, au mk...
13/08/2026

Maumivu ya kifua ni shida ya kawaida na inaweza kutokea kwa sababu nyingi. Inaweza kuhisi k**a shinikizo, kuchoma, au mkazo katika kifua chako.

Choo maalumu chabuniwa kwa ajili ya wanandoa wanaopenda kujisaidia pamoja.Choo hicho kinajulikana k**a TwoDaLoo.Choo hic...
13/08/2026

Choo maalumu chabuniwa kwa ajili ya wanandoa wanaopenda kujisaidia pamoja.Choo hicho kinajulikana k**a TwoDaLoo.

Choo hicho kina vyoo viwili kinaruhusu watu wawili kutumia kwa wakati mmoja. Wabunifu wake wakielezea kuhamasisha mazungumzo na ukaribu zaidi kati ya wanandoa na pia kuokoa maji kwa kutumia mfumo mmoja wa kusukuma maji.

Wakati baadhi ya watu wanakiona k**a ubunifu wa kufurahisha unaoweza kuimarisha ukaribu katika mahusiano, wengine wanaamini kuwa msalani ni sehemu ya faragha binafsi na si vyema kubadilishwa kuwa eneo la matumizi ya pamoja.

Kuweka kitu chenye baridi, k**a kipande cha barafu, nyuma ya shingo kunaweza kusaidia kupunguza hisia za wasiwasi na mso...
13/08/2026

Kuweka kitu chenye baridi, k**a kipande cha barafu, nyuma ya shingo kunaweza kusaidia kupunguza hisia za wasiwasi na msongo wa mawazo kwa muda.

Njia hiyo hufanya mwili kuitikia hali ya baridi, jambo linaloweza kusaidia kuuelekeza mwili katika hali ya utulivu na kuondoa umakini kutoka kwenye mawazo yanayosababisha msongo.

Hata hivyo, wataalamu wanaeleza kuwa si tiba iliyothibitishwa ya matatizo ya wasiwasi, bali inaweza kutumika k**a njia ya haraka ya kujituliza wakati mtu anapohisi amezidiwa na hisia

K**a huingizi kiasi wanachoingiza wao,basi wacha kutumia k**a wanavyotumia.Karibu tumumunye uthamu ndani
13/08/2026

K**a huingizi kiasi wanachoingiza wao,basi wacha kutumia k**a wanavyotumia.Karibu tumumunye uthamu ndani

Address

Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bahari Fm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share