PESA& infotech

PESA& infotech Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from PESA& infotech, Service Apartments, 3217 pinemount Road, NewHills, NC, Salt Lake City, UT.

11/19/2022

Hello

NJIA 6 ZA KUINGIZA PESA KUPITIA MTANDAO WA Instagram. Mtandao wa Instagram unakadiriwa kuwa na watumiaji zaidi ya billio...
04/25/2022

NJIA 6 ZA KUINGIZA PESA KUPITIA MTANDAO WA Instagram.

Mtandao wa Instagram unakadiriwa kuwa na watumiaji zaidi ya billioni moja kwa mwezi huku watumiaji ambao wako active idadi yao ikiwa ni million 500, na 75% ya watumiaji wake wana umri chini ya miaka 35.

Sasa wewe k**a kijana wa kitanzania unawezaje kujiingizia kipato kupitia mtandao huu?
Zifuatazo ni njia 6 za kupata pesa kupitia mtandao wa Instagram;

1. Influencers video, hii ni njia ya kuwatumia influencers au watu wenye followers wengi kutangaza bidhaa zako au account yako. Njia hii itakusaidia kuuza bidhaa zako au kuongeza idadi ya followers na kujipatia kipato kupitia Instagram.

2. Kuuza video za Instagram, K**a una simu au camera nzuri, unaweza ukawa unatengeza video mbalimbali kwa ajili kupost Instagram kwa brands mbalimbali. Pia kuna website nyingi ambazo unaweza pata wanunuaji wa video hizo mfano tovuti ya 2020.

3. Affiliate marketing, hii ni njia ambayo unaweza itumia kujipatia kipato kwa kuuza bidhaa za makampuni au watu mbalimbali kupitia account yako ya Instagram na kupata gawio la asilimia kadhaa kwa kila bidhaa ambayo utaiuza.

4. Kuuza account yako ya Instagram, K**a una idadi kubwa ya followers kuanzia 10k na kuendelea na hauna muda wa kuisimamia unaweza iuza pia na kujipatia pesa.

5. Kuitangaza YouTube channel yako kupitia Instagram account, pia unaweza kutumia mtandao wa Instagram kuitangaza channel yako ya YouTube, ukifanya kwa usahihi unaweza jipatia kipato kupitia YouTube.

6. Kutangaza brands za kampuni mbalimbali kupitia Instagram account yako. K**a una idadi ya followers kuanzia elfu moja (1000) tu na unapost maudhui mazuri unaweza tembelea tovuti ya TAKUMI na kuomba kua balozi wa brands mbalimbali.

Asante kwa kusoma makala hii....

NB:Ukurasa huu mpya K**a umeipenda makala hii fanya kulike, na kushare ili kuweza kupata makala nyingi k**a hizi🙏🙏🙏🙏.

Address

3217 Pinemount Road, NewHills, NC
Salt Lake City, UT
27562

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PESA& infotech posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share